Would you go to bed with me Tonight?

Hyo experiment ya ujingaujinga mfanyie hukohuko Florida mkileta hapa Udsm mimi nitakubaka nifungwe na chuo nifukuzwe buree,watu na makutu yetu alaaaaaaah!!
 
Hyo experiment ya ujingaujinga mfanyie hukohuko Florida mkileta hapa Udsm mimi nitakubaka nifungwe na chuo nifukuzwe buree,watu na makutu yetu alaaaaaaah!!
Hahaha bora umeongea ukweli wako , kwa hapa bongo wanaume hatutaki utani wa kijinga kwenye masuala ya papuchi.
 
Hahaha bora umeongea ukweli wako , kwa hapa bongo wanaume hatutaki utani wa kijinga kwenye masuala ya papuchi.

Kabisaaaaa mkuu. We unakuta umekaa zako na mikutu ya miaka afu kinajitokeza kimtu kinasema kinakutunuku afu badae kinakwambia eti experiment.kudadadadeki
 
kwa kawaida mimi binafsi siwezi kufanya ngono na mtu ambaye simjui,kwa hilo hata kama angekuwa mrembo mara ngapi haliwez kutokea ng'ooo
 
Duuuh karne hii ya magonjwa kibao ya zinaa nakula mita siwezi kukubali
 
mmhhhh, nimesikitishwa na kauli ya juu hapo ingawa ndio ukweli wenyewe huo.
Tena kama wewe ndio kabisaaa usingechomoa.
Nawasilisha

hahahahaaa, kichuna wangu jamani, mie ningechomoka vizuri. ubavu wa kumcheat kichunafk sina. kwako nishaweka kambi mazima, ni kwako pekee ndo napata sweetest 'crazy ride' & 'nasty bang'. huko michepukoni nita-dig tope buree
 
mbongo ME kwa mbunye asikuambie mtu... wote waongo tu Kaveli ndo kaongea ukweli MZIZI ukistuka tu bondeni thubutuuu....hapo hakuna simile tena...MWANAUME KAZINI hata kama ni kikuku cha dawa jua KITALIWA tu,wewe na experiment yako utamtafuta wa kumsimulia...
 
hahahahaaa, kichuna wangu jamani, mie ningechomoka vizuri. ubavu wa kumcheat kichunafk sina. kwako nishaweka kambi mazima, ni kwako pekee ndo napata sweetest 'crazy ride' & 'nasty bang'. huko michepukoni nita-dig tope buree

here is where you call home.
Kwengine ugenini Kaveli
 
Last edited by a moderator:
Anajidai tu aatractive ladiz mi najua na nna uhakika kabisa wanaume kama fisi hata mizoga wanatafuna!!!
ilimradi tu kadushe kamemsimama...

Usi generalise lakini...! Hapo kwenye nyekundu ingesomeka "baadhi ya wanaume"! Hata utafiti ulionyesha kuna 30% ambao hawako kama fisi!
 
here is where you call home.
Kwengine ugenini Kaveli

hahahaa umenimaliza mama. napiga lock 'mgegedeo' wangu afunguo nakukabidhi wewe. why nihangaike na 'makaa ya mawe' wakati 'almasi' yangu upo? walahi nisipokuoa we mwanamke, basi nitasitahili adhabu ya kifo. Mahaba niteketeze kabisa kwa huyu malaika alieshushwa! I wanna make YOU the happiest wife in the world.
 
mahaba, mahaba ning'ateeeee....
Kwa niaba ya yamoto band
 
Niliicheki hii documrntary, nikasema sisi wanaume tunapenda sana, kul mzigo hata kwa strangerz. Tuna hatari kidgo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…