GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,742
- 109,178
Messi ndio nani?
kama upo kiushabiki hakuna tatizoHuu ni ukweli mchungu.
Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
MUNGU wako wewe!Huu ni ukweli mchungu.
Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Ronaldo ni mchezaji hatari na mzuri sana ila Messi sio wa sayari hii.
Sidhani kama kuna jina linalokufaa zaidi ya mpuuzi.