Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,453 Reaction score 10,059 Feb 25, 2014 #1 Karibuni wadau wa mpira wa miguu, hii ni thread ambapo wana mpira tutakuwa tunakutana hapa na kuelezana mambo muhimu kuelekea Kombe la Dunia, hasa wakati huu zikiwa zimebaki siku chache kabla ya mashindano kuanza hapo June. Karibuni wadauuu
Karibuni wadau wa mpira wa miguu, hii ni thread ambapo wana mpira tutakuwa tunakutana hapa na kuelezana mambo muhimu kuelekea Kombe la Dunia, hasa wakati huu zikiwa zimebaki siku chache kabla ya mashindano kuanza hapo June. Karibuni wadauuu
Kiboko. JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 2,896 Reaction score 1,214 Feb 25, 2014 #2 Umewahi sana mkuuu watu tunawaza nan bingwa UEFA,EPL,VPL,lLPL Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Umewahi sana mkuuu watu tunawaza nan bingwa UEFA,EPL,VPL,lLPL Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨