Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,070
Ila faulo alizochezewa Rodriguez hazikua za kitoto? Brazil na refa wao waliyataka haya wenyeweee, Rodriguez kila akishika mpira hasa kipindi cha kwanza anakutana na daruga za Fernandinho na Silva ila kirefa kama hakioni vile na Rodriguez ndio mchezaji bora wa mashindano haya mpaka match ya jana lakini hakupata protection ya aina yeyote kutoka kwa refa
Huyo mtoto mlaini kaguswa kidogo na WC imeisha. Mnachokoza ugomvi na hamjui kukwepa wala kurusha makonde?! Sasa jiandaeni na kiboko cha mkoloni, hakuna Silva, hakuna Naima

Dah neymar na tiago silva wote hawamo WC
Yaani Argentina leo akitolewa sijui ntaliaje??,nitasikitika kuliko hata timu za Africa zilipotolewa
Kama waiting a fainali Tiago Silva atakuwepo...amekuwa suspended for semi final tu.
Sijaunga mkono faulo yoyote mkuu
Kuhusu Rodriguez kuwa mchezaji bora 100% am in too he is a super hero
Silva kutokuwepo game ijayo sawa Brazil italega kidogo sababu itabidi awepo Dante. Kutokuwepo kwa Neymar ndo wakati bora kwa Bernard kucheza na ku-show what he got
German hawezi isumbua Brazil mkuu, Colombia ndiyo ilikuwa inanipa hofu kwa hii stage we are going final, we carry the cup
#teamBrazil we are the champ
Ubelgiji leo wanaweza waishangaze dunia.Argentina sio wazuri kuliko belgium kwa jinsi nilivyowaona.
Sijaunga mkono faulo yoyote mkuu
Kuhusu Rodriguez kuwa mchezaji bora 100% am in too he is a super hero
Silva kutokuwepo game ijayo sawa Brazil italega kidogo sababu itabidi awepo Dante. Kutokuwepo kwa Neymar ndo wakati bora kwa Bernard kucheza na ku-show what he got
German hawezi isumbua Brazil mkuu, Colombia ndiyo ilikuwa inanipa hofu kwa hii stage we are going final, we carry the cup
#teamBrazil we are the champ
#TeamArgentina, mie ngoja niwe mkweli tu, teams zote zilizobaki nataka sana #TeamBrazil ndio ichukue ubingwa na timu ambayo nisingependa ichukue ubingwa ni #TeamGermany.

Pengo la Neymar lazima litaonekana.
Basi usichotaka ndicho kitakachotokea, Brazil hii ya kubebwa na marefa itahitaji miujiza kukwepa mijeledi ya Mkoloni
​Ila ujue #TeamBrazil can step up and steal the show from Germans.
Basi usichotaka ndicho kitakachotokea, Brazil hii ya kubebwa na marefa itahitaji miujiza kukwepa mijeledi ya Mkoloni
Sure, why not?
Lakini so far sijaona kiwango wala lile samba la kibrazil kuniconvince otherwise, team inacheza ikimtegemea sana Neymar, huruma za marefa na undava kama jana
Ujerumani so far wamequalify kutoka kwenye kundi gumu na wamekutana na mitahani miwili mitatu mpaka sasa, lakini wameweza kuhold their nerves na kupata matokeo bila kutumia dark arts kama Brazil