Waambie wewe. Mimi nikisema wananibishia. Labda tu tumbe refa atowe kadi nyingi ili Australia walau na yeye ashinde mechi moja.
Leo Waafrica wanaishangilia German. MAAJABU, hihihiiiii
Ni sawa na watakavyoishangilia Argentina ishinde. Maradona lazima ashinde mechi zote tatu na hii itaibeba Nigeria. Watafanya hivi ili kuchukua washangiliaji wa Africa. Hapo Nigeria washindwe wenyewe.
Makosa ya namna hii yanafanywa zaidi na wachezaji wa kiafrika...so far three african players have been red carded...(khune, kaita, na algerian player)...na at the end african teams zinaloose tuuu game kirahisiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.why???????????
Hivi Zinedine Zidane alipomtungwa yule muitaliano kwenye fainali za kombe la dunia zilizopita alikuwa anachezea timu za kiafrika. Tuache kuwafanya watu wengine kama siyo binadamu kwamba wakichokozwa wanaweza wasireact. Ni ukweli kwamba timu za kiafrika zimetuangusha mpaka sasa hivi, lakini pia siyo sababu ya watu kuwaona wengine hawana weakness za kucontrol hasira.