Nilijua German watauza mechi ili waibebe Serbia.
Hii walishaifanya mwaka 1986 kama sikosei baada ya kupanga mechi na ALGERIA wakatolewa.
Kitakachotokea sasa ni Ghana kufungwa na German na Serbia kuifunga Australia.
Cha muhimu ni keshi Ghana kufunga magoli mengi wakiweza.