Nilijua German watauza mechi ili waibebe Serbia.
Hii walishaifanya mwaka 1986 kama sikosei baada ya kupanga mechi na ALGERIA wakatolewa.
Kitakachotokea sasa ni Ghana kufungwa na German na Serbia kuifunga Australia.
Cha muhimu ni keshi Ghana kufunga magoli mengi wakiweza.
Ahh, Miroslaw Klose kapigwa njano mbili na sasa yuko nje kwa RED. Faulo ya kijinga, katikati ya uwanja.
Hapo hapo Serbia wamefunga goli, kama sikosei Ivanovic.