P p53 JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 715 Reaction score 344 Jun 17, 2010 #1,801 Abdulhalim said: ha ha.. Click to expand... mbona unanicheka mkuu???
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 Jun 17, 2010 #1,802 hili nalo neno, maana hata utamu wa game unakuwa hamna Abdulhalim said: Kidogo pye kidogo pye, refa anataka yeye ndio aonekane tuuuuuu Click to expand...
hili nalo neno, maana hata utamu wa game unakuwa hamna Abdulhalim said: Kidogo pye kidogo pye, refa anataka yeye ndio aonekane tuuuuuu Click to expand...
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 Jun 17, 2010 #1,803 Abdulhalim said: It smell like wazee wa Tijuan watachukua hii. They seem to want it more. Click to expand... Abdu,mmh hao wamexico watalipata kweli hilo kombe!..Naomba liende Europe mana Africa linapita tu pale SA!
Abdulhalim said: It smell like wazee wa Tijuan watachukua hii. They seem to want it more. Click to expand... Abdu,mmh hao wamexico watalipata kweli hilo kombe!..Naomba liende Europe mana Africa linapita tu pale SA!
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 Jun 17, 2010 #1,804 p53 said: Mimi nawashangilia wa mexico hapa manake dada zao hawana hiyana wala nini,ukibanwa wanakuhudumia fasta... Click to expand... takrima! takrima! takrima !!!!!!! oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
p53 said: Mimi nawashangilia wa mexico hapa manake dada zao hawana hiyana wala nini,ukibanwa wanakuhudumia fasta... Click to expand... takrima! takrima! takrima !!!!!!! oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 17, 2010 #1,805 BelindaJacob said: Abdu,mmh hao wamexico watalipata kweli hilo kombe!..Naomba liende Europe mana Africa linapita tu pale SA! Click to expand... Nazungumzia kuchukua hii mechi. Mexico hawana ubavu wa kuchukua kombe.
BelindaJacob said: Abdu,mmh hao wamexico watalipata kweli hilo kombe!..Naomba liende Europe mana Africa linapita tu pale SA! Click to expand... Nazungumzia kuchukua hii mechi. Mexico hawana ubavu wa kuchukua kombe.
PingPong JF-Expert Member Joined Dec 21, 2008 Posts 926 Reaction score 160 Jun 17, 2010 #1,806 p53 said: Mimi nawashangilia wa mexico hapa manake dada zao hawana hiyana wala nini,ukibanwa wanakuhudumia fasta... Click to expand... hahaha...... kweli kuna sababu nyingi za kushangilia timu
p53 said: Mimi nawashangilia wa mexico hapa manake dada zao hawana hiyana wala nini,ukibanwa wanakuhudumia fasta... Click to expand... hahaha...... kweli kuna sababu nyingi za kushangilia timu
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 17, 2010 #1,807 Kibabu Wenger yupo kwene comment box..
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 Jun 17, 2010 #1,808 Abdulhalim said: Nazungumzia kuchukua hii mechi. Mexico hawana ubavu wa kuchukua kombe. Click to expand... Nimekusoma mkuu!..mana sikuwafikiria kabisa ubingwa!!
Abdulhalim said: Nazungumzia kuchukua hii mechi. Mexico hawana ubavu wa kuchukua kombe. Click to expand... Nimekusoma mkuu!..mana sikuwafikiria kabisa ubingwa!!
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,579 Reaction score 573 Jun 17, 2010 #1,809 p53 said: Mimi nawashangilia wa mexico hapa manake dada zao hawana hiyana wala nini,ukibanwa wanakuhudumia fasta... Click to expand... ..............Sio wadada tu moto haka kaka zao macho juu juuu.
p53 said: Mimi nawashangilia wa mexico hapa manake dada zao hawana hiyana wala nini,ukibanwa wanakuhudumia fasta... Click to expand... ..............Sio wadada tu moto haka kaka zao macho juu juuu.
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 17, 2010 #1,810 p53 said: mbona unanicheka mkuu??? Click to expand... Nacheka kubanwa
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 17, 2010 #1,811 Its funny Domenech kuna wachezaji wake ambao hata wakiboronga, mechi inayokuja watacheza tu.
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 17, 2010 #1,812 Refa anaonesha mahaba kwa France.
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 17, 2010 #1,813 oohh..lakini mbeleko inakaribia kukatika.
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,273 Jun 17, 2010 #1,814 Akina Holla Amigo wakikosa goli hapo!.
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,273 Jun 17, 2010 #1,815 Kadi zanatembea kama njugu sasa.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,284 Jun 17, 2010 Thread starter #1,816 BelindaJacob said: Ndo kandanda inachezwa sasahivi Polokwane Stadium..Mie nashabikia France! Enjoy the match! Mods baada ya mechi do the needful,Asante!! Click to expand... Hongera kwa kuanzisha hii thread....nilihisi utakuwa unawashangilia hao hata mimi nawafagilia pamoja na kuwa sikupenda namna walivyoingia kwenye fainali za WC kupitia goli la Mungu...LOL! lakini sijui kama wataweza kwenda mbali.
BelindaJacob said: Ndo kandanda inachezwa sasahivi Polokwane Stadium..Mie nashabikia France! Enjoy the match! Mods baada ya mechi do the needful,Asante!! Click to expand... Hongera kwa kuanzisha hii thread....nilihisi utakuwa unawashangilia hao hata mimi nawafagilia pamoja na kuwa sikupenda namna walivyoingia kwenye fainali za WC kupitia goli la Mungu...LOL! lakini sijui kama wataweza kwenda mbali.
PingPong JF-Expert Member Joined Dec 21, 2008 Posts 926 Reaction score 160 Jun 17, 2010 #1,817 hiki kipara cha kipa wa mexico kinanikumbusha Fabien Barthez http://en.wikipedia.org/wiki/Fabien_Barthez
hiki kipara cha kipa wa mexico kinanikumbusha Fabien Barthez http://en.wikipedia.org/wiki/Fabien_Barthez
P p53 JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 715 Reaction score 344 Jun 17, 2010 #1,818 Tumeuaaaa
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 17, 2010 #1,819 Haya kumekucha..
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,890 Reaction score 129,941 Jun 17, 2010 #1,820 chicharichoooooooooooooo.........................