Duh! hapo mwanangu, chance naona ni slim sana, Nija wakimpiga greece leo, then nija na argentina hatuchomoi, wakati greece hawatachomoa kwa korea = nija na greece nje.
sasa nigeria walembe sasa!!
wakuu ntarudi jamvini later nisome matokeo
nahisi napata homa,maumivu ya jana hayajapona bado,nsije kuugua kiharusi mechi ya leo
nyimbo za taifa hizooooo!
ciao