Sauzi haendi kokote leo kwa game hii Nadhan wakirudi watapigwa la pili nakuyazima kabisa mavuvuzela yaani hata watangazaji wa SS3 wamekuwa wapole wasio na bashasha zao zile za kawaida! mwenyeji kufungwa inauma kweli
Jamaa wanacheza bila malengo. Halafu utaona jinsi wachezaji walivyo wabinafsi, kama huyu Shabalala kabore anataka kufunga pekee yake. Roho mbaya zetu ndo zinatumaliza waafrika, fuatilia uwanjani utaona wachezaji wanavyo behave 'mimi kwanza'. Hii nimeiona karibu timu zote za Afrika , they dont play as a team. Ndo maana hata kwenye maisha yetu hii kitu inakula, gap kati ya tajiri ni kubwa sana kwa sababu tajiri anataka ajulikane na aabudiwe yeye. Mungu tunusuru na hili weupe wanatujua na ndo maana tunazidi kua masikini hali tunakila kitu kama ilivyo kwenye soccer tuna wachezaji but ubinafsi unaturudisha nyuma. Anyway tuone 2nd half.
Alafu tukumbuke South Africa wamepata nafasi ya kushiriki kwa vile ni ma-host kama sio hivyo wasingekuwepo.kwahio wanahitaji dua zetu lol tusikate tamaa lol.
Alafu tukumbe South Africa wamepata nafasi ya kushiriki kwa vile ni ma-host kama sio hivyo wasingekuwepo.kwahio wanahitaji dua zetu lol tusikate tamaa lol.
Alafu tukumbe South Africa wamepata nafasi ya kushiriki kwa vile ni ma-host kama sio hivyo wasingekuwepo.kwahio wanahitaji dua zetu lol tusikate tamaa lol.