BADO dakika kama tano hivi FAVOURITE wanapamba ulimi nje naombea wafungwe ila hata wakitoa draw katika dakika hizi itakuwa ni fundisho kubwa kwao Duh Nilisema watoto wA BLATER si wa kubeza...Lets Go SWISS
AW, tutampata tu bingwa wa dunia katika kandanda, lakini katika raundi hii ni mapema sana kuweza kujua/kutabiri ni timu gani itakuwa mabingwa. Hao Spain wamejiweka katika wakati mgumu ili kuweza kusonga mbele.
AW, tutampata tu bingwa wa dunia katika kandanda, lakini katika raundi hii ni mapema sana kuweza kujua ni timu gani itakuwa mabingwa. Hao Spain wamejiweka katika wakati mgumu ili kuweza kusonga mbele.
Spain believed they are the best kwa hiyo badala ya kufanya mazoezi waliwaruhusu mamuluki wa Barca kwenda kumtongoza Cesc na attention yote ya mpira kutoweka. Switzerland wamefanya kazi waliyotumwa. Good work Swiss.