kwa mwendo huu jamani tuwe wakweli tu , Brazil inakibarua kigumu , tofauti na watu wengi wanavyodhani kuwa itakuwa rahisi kwao kuchukua ubingwa ....,...yangu macho..
Bravo Brazil ila wanahitaji jitihada lol!..N.korea nao mpaka wamepata moja alilolilia yule mchezaji kwenye wimbo wa Taifa,isijekuwa amkefunga yaya..huh!!
Nisubiri kesho kumwona Torres!..
Ila kubutua nako wanabutua! Toka hii mech imeanza! Sanaaaa cjui kwa kuwa kujaribu si kushindwa!! Haaa! Yani goli liko kati butuo linapaa juu tena pembani yagoli kulia/kushoto...duuu..