Germany mpira wao huwa uko so live and nice to watch! Alafu aka kajamaa kametoka macho kama mjus lazima kawafunge leo kameshawakosa mara nyingi sana iki kipindi cha kwanza lol..
Germany mpira wao huwa uko so live and nice to watch! Alafu aka kajamaa kametoka macho kama mjus lazima kawafunge leo kameshawakosa mara nyingi sana iki kipindi cha kwanza lol..
Preta, itabidi uvae miwani kuwaita hawa Wajukuu wa Mtemi.
Kwanza angelifufuka leo na kugundua kuwa nchi yake ina wachezaji Wageni kibao na kibaya zaidi hao waliofunga magoli, wote ni wa kuja na wamezaliwa nje ya German. Pia huko mbele kuna Mturuki na kwenye benchi nimeona hadi Mpingo. Mtemi angelipata ugonjwa wa moyo na kufa tena. Amen.
Refa jinga sana hili. Linawaogopa German. Limebana Penati ya wazi kabsa na kugawa kadi utafikiri limekuwa father christmas.
Daah! Germany wana pas hatari wakifika karibu na goli nilijua lazima litokee lingine sasaiv bado nashangaashangaa kwa nn zile nyingine hazijawa magoli wfuuu.. Haya ndo magoli yana raha kushangilia sio free penalts! We need to up our games afrikans lol...
Hawa wajerumani wana wabrazili kwenye team yao (Claudemir Jeronimo Barrett) Cacau, Boateng kutoka Ghana, waturuki (Mesut Özil) na Wapoland Podoski na Klose. wanakutana na wabovu Australia