Mpira umemalizika Ghana imeondoka na goli moja na ni ushindi mnono kwa timu za Afrika na watu wake ,habari kutoka kwa WaGhana wanasema kuwa kombe linachezwa nyumbani,hivyo wanasababu ya kushinda mechi zote.

Ghana kama wanataka kufika mbele, inabidi wampange mapema Appiah, maana madogo wa pale kati pasi zao hazina akili, halafu wanaremba sana. Mechi zijazo sidhani kama watapewa space and time kama walivopewa leo.
......nafikri Kocha alikuwa na furaha pamoja na hasira kwani zilitakiwa kuwa goli mbili kama si tatu.........you are very sensitive Rev..........pure African attitude when it comes to dis kind of tings......lol
MKuu....Masahihisho kidogo kwenye hiyo picha ya kati.......Huyo si S. Muntari....Huyo ni K. Asamoah.....Muntari hajacheza kabisa leo.....Asante kwa mapicha mkuu