1.inawezekana kabisa,mpira hauchezwi uwanjani tu....mkuu bak, ilibaki dakika moja tu utabiri wetu uwe kweli. Nahisi kuna mtu, kama sio ghana wenyewe, alitia mkono! Sooo near, yet soooo far. Ni maumivu matupu:frusty:.
... Now i can watch the remaining wc matches kwa amani bila kupandisha bp wala oilcom. Nyani ngabu, please allow me...mibantu ndivyo tulivyo...!😡 😡 😡 😡...na kwa msisitizo zaidi..😡 😡 😡 😡 😡 😡 !
hapa anamuitaji Diego Milito,lakini sidhani kama anajua hilpo.Leo ndio tutaona kama Maradona ni kocha kweli wa kuweza kukabiliana na challenges za ukocha.
pole sana,walishakatishwa tamaa kabisa kwa goli lao kudakwa na yule mrugway muhuni, kama ndio mipira ya mchangani ni ngumi au mpira unawekwa kwapani hakuna kuendelae..unaendelea na nini watu wanacheza netball?huyo si aliye tuua waliotuua na wale wapiga penati wa tatu na nne wa ghana,huwezi piga penati ya kichovu vile worldcup,wacha waende accra wakajifunze penati wameniuzi kama nini nilikuwa sijala na njaa imepotea.
Just as I am thinking about starting the thread, Muller scores!
Kama alikuwa anafikiria ukocha ni kurukia watu wanapofuga goli, basi leo atakiona cha moto!.hapa anamuitaji Diego Milito,lakini sidhani kama anajua hilpo.
Tuko pamoja nawe mchungaji japo si kwa saana!. Sasa hivi tunafikiria KUPETITION FIFA wabadilishe sheria juu ya mchezaji wa ndani anapodaka mpira kama golikipa (the Suarez gate). Hii kitu ni muhimu kuliko hata habari ya ku-adopt goal line technologies (i.e., hawk eye).
mkuu unataka sheria ya "goaltending" nini kama kwenye basketball?lol yule Suarez nime mmind sana.