What they are laking is precision, pasi zao si accurate, wantu wanasubiri mpira badala ya kufuata mpira wakipigiwa pasi, wanapoteza mipira mingi na set up zao si makini sana.
I like football critics..mnaocheza kwenye kusadikika..mkiwaponda wachezaji na kuwakosa ati hawachezi vizuri!
Hivi nyinyi wote hapa mnajua kucheza mpira? si ajabu hata kupiga pasi moja ha muwezi!