yap yani brazil maicon,lucio,julio cesar(kipa),gilberto silva,kaka,elano nimewakubali wazuri,ila bastos ndie sababu ya wao kufungwa leo,kama mnakumbuka ktk champions ligi bayern munich na lyon kule ufaransa mechi ya marudiano alikuwa chochoro sana kwa robben,yani pengo la marcelo wa real madrid limeonekana,ila dunga namsifu alimsoma sema alikuwa kachelewa kumtoa,mana wadachi aliwaanzia mchezo wa fujo na aliwaweza mwanzo,sema kipindi cha pili wadachi waligeuka wakawa mbogo.