Kuna mtu hapa hata hamjui Maradona ni nani ( read, soccer IQ close to 0 ) lakini kashaona Naija wanachemsha anasema 'Nigeria better get it together" 🙂 .
Kuna mtu hapa hata hamjui Maradona ni nani ( read, soccer IQ close to 0 ) lakini kashaona Naija wanachemsha anasema 'Nigeria better get it together" 🙂 .
Hawa jamaa ukiwashabikia utaumia sana. Wakati sisi tunataka washinde ili wawakilishe Bara wachezaji kila wanapopiga mpira mawazo yao yote ni "Ferguson kaniona sijui", "Gadiola kaniona sijui", "Manchini kaniona sijui", "Morinho kaniona sijui" and on and on!, japo wengi wanachezea club kubwa ulaya ila bado akili na mawazo yao ni kujitangaza zaidi kwa kuendekeza ubishoo.