Kumbe Wenger ni miongoni mwa meneja anayelipwa mkwanja mrefu ? Mbona sasa yeye ni bahiri sana kulipa wachezaji wake hadi wanatanani kumsumbua ? Kumbe kuna ngozi nyeupe kama nyeusi tu ?
- Josep "Pep" Guardiola Sala ([HASHTAG]#Pep[/HASHTAG])- [HASHTAG]#ManchesterCity[/HASHTAG]
- José Mário dos Santos Mourinho Félix,([HASHTAG]#JoseMourinho)[/HASHTAG] - [HASHTAG]#Manu[/HASHTAG]
- Carlo Ancelotti OSI - only manager to have won the UEFA Champions League three times and reached four finals
- Arsène Wenger, OBE ([HASHTAG]#Wenger[/HASHTAG])- [HASHTAG]#Arsenal[/HASHTAG]
- Zinedine Yazid Zidane "Zizou" - [HASHTAG]#RealMadrid[/HASHTAG]
- Jürgen Norbert Klopp - [HASHTAG]#Liverpool[/HASHTAG]
- Luis Enrique Martínez García -
- Antonio Conte - [HASHTAG]#Chelsea[/HASHTAG] FC
- Ronald Koeman-The Netherlands national team
- Mauricio Roberto Pochettino Trossero - [HASHTAG]#spur[/HASHTAG]
Hawana timu kwa sasa,Henrique na Anceloti n makocha wa timu gani
Wenger sio mhasibuKumbe Wenger ni miongoni mwa meneja anayelipwa mkwanja mrefu ? Mbona sasa yeye ni bahiri sana kulipa wachezaji wake hadi wanatanani kumsumbua ? Kumbe kuna ngozi nyeupe kama nyeusi tu ?
We nawe, hivi anayehusika n'a Contract negotiation ni nani ? Ni accoutant au Meneja wa timu.? Kwa uelewa wangu anacholipwa mchezaji, kinakukuwa kwenye mkutaba wake wa ajira, n'a meneja (kocha) ndiyo utoa mwongozo kuhusu hilo, hapa naongelea vilabu vya wenzetu siyo hapa kwetu ambapo sometime wachezaji usajiliwa na hulipwa na Watu binafsi. Nadhani umenielewa mkuu.Wenger sio mhasibu