Wakati naanza kazi in my early twenties, nilipangiwa kwenye isolated place kama kambi hivi; na kazi yenyewe nilikuwa mdada wa kiafrika peke yake the rest ni wanaume na wadada wa kizungu. Of course married men walikuwepo na wake zao!
Nilisoma Mazingira n l said to myself, siwezi kuwa na uhusiano na mtu yoyote hapa. My reasoning were, nitakuwa na mtu, baadaye ataniboa (tabia) nitamuacha then kwa vile nimezoea kuwa na mtu karibu nitapata mwingine; mwisho wa siku kila mtu atakuwa anaujua mwili wangu!
So nimefanya kazi pale kwa uhuru, l could joke with anyone; na niliwafanya wote kama rafikis, kiasi kwanza mtu anashindwa hata kunitongoza, coz nikikuhisi na I will be watching u in ur eyes when talking etc.
Kifupi; mahusiano kazini yanapoteza heshima na uhuru na sidhani kama yanaweza last sana bila maugomvi au drama. Ni mtazamo wangu lkn!
College at least ni compound kubwa, wote mko young na kama uko sober si kitu cha kutilia maanani sana!
well there are good if u into FFF; find f*ck and forget
Kwanini usikipe kila kitu na mda wake? Ukiwa kazini fanya kazi na ukiwa shuleni soma tuu. Jamani maofisini si sehemu nzuri ya kuwa na wapenzi, una haribu kazi, na unaonekana huna heshima kwa jamii.
Kaunga,uliyosema ni kweli unakuwa uko huru na unakuwa rafiki wa kila mtu kama interests zenu zinafanana.Lakini je kama uko single,kazini ni sehemu moja wapo unaweza pata mwenzi wa maisha,hili unalionaje?
snowhite,usiwe huru sawa lakini tufanyaje sasa tuache kabisa wakati kazini twaweza pata wenza wetu wa maisha?
Ofcourse kama ilivyo kwa sehemu nyingine; kazini unaweza pata mwenza. Lkn inakuwa busara msiendelee kufanya kazi Ofisi moja baada ya ndoa, kwani si tu mtawaboa wengine lkn pia mnaweza msiwe fair kwa wengine na hata kuwa unconfortable around others.
Na ndio maana mashirika mengine, mine included hawaruhusu couple kufanya kazi pamoja. Kama mmekutana hapa mkioana mmoja lazima aresign!
mzabzab,kwa jamii zetu za kitanzania FFF,kama ulivyo i-term na hasa kipindi hiki cha UKIMWI hilo laweza kuwa janga,nilikuwa naishi Tanga kwenye early 90's wakati janga la UKIMWI ndio limepamba moto,BANDARI ilikuwa ni shirika linalipa vizuri wafanyakazi wake,na kama unavyojua kwenye pesa na drama huwa hiziishi,basi pale watu walipukutika kwa UKIMWI kuanzia GM mpaka wafagizi.Kwa hiyo FFF yaweza kuwa kaburi ni mwanzo,japo makali ya UKIMWI sio kama ilivyokuwa then
I beg to differ...FFF ni nzuri sana kama mtu ataweza kuwa na discipline ya kuhakikisha kuwa inabakia FFF tuu na sio chengine. hapo bandarini watu walikuwa na affairs hivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa watu wanazoeana alafu unajua tena mtu unakamatia bila ndom. FFF mara nyingi inawashinda watu maana wanataka kukaa kabisa. alafu kibaja zaidi katika mazingira ya workplace ni kwamba ukimega mara moja au mbili alafu umpotezee basi anaweza anza fanya visa balaa na chuki kibao. my advise itakuwa FFF ifanywe sehemu kama chuo na hasa mademu ambao hamsomi kozi moja. hapo mdebwedo.
sijakataa they do work!manake hata mi huyu shem wako nilimpata shuleni,tatizo inakuwa ngumu kujimksi na watu wengine japo kwa nia njema tu!yani kuna kaiuhuru flani hvi ambako wenziio wasiofungamana na upande wowote wanakua nako!
Ni kweli snowhite,kufanya kazi na mke/girlfreind/mme/boyfreind sehemu moja sio nzuri,kuonana nyumbani na kazini masaa yote inapunguza muwasha washa,kwamba unakuwa humkumbuk/hum-missi mwenzako kivile na hilo nalo ni tatizo hasa kwa hawa wenzentu wanotaka attention za kufa mtu