Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Tuongee PM. Hii ni first co-hort, kwa hiyo nahitaji kujua hitaji lako haswaTUNAJIUNGAJE
A blend of both. Kutakuwa na physical meetup (we may organize once weekly) na the rest will be training online. KaribuPhysically or online?
A blend of both. Italingana na kasi ya mwanafunzi na hitaji haswa
Poa nitakuchek mkuuNaendelea kupokea watu. Hamna online platform as yet. Nataka nijue uhitaji kwanza, then we will use simple social tools kucommunicate na kutrack progress. Of course online tool inakuja, but after tushajua hitaji kubwa liko wapi hapa Bongo, na lipi la kucover topic wise.
Hii ni relative to the type of training you will need. Pricing structure bado tunafanyia kazi, lakini kwa first cohort nitaprice according to course content. Nicheki inbox for more details
Nyosha maelezo hapa hapa, sio mm tu ambao watahitaji kujua hizo gharamaHii ni relative to the type of training you will need. Pricing structure bado tunafanyia kazi, lakini kwa first cohort nitaprice according to course content. Nicheki inbox for more details
Gharama zitaanzia elfu 50 for basic Training and support. Bei itapanda kidogo kwa wale watakaotaka kuaccess premium themes and plugins as well as direct supervision ya live project. Hii first cohort wala emphasis kubwa sio pricing, lakini ni kujua hitaji liko wapi na changamoto vilevile.Nyosha maelezo hapa hapa, sio mm tu ambao watahitaji kujua hizo gharama
Sent using Jamii Forums mobile app