Aina gani ya mashine unahitaji, rip saw,planer thicknesser, morticer au spindle moulder? Mimi hua naleta kutoka UK. Fafanua vizuri ili tufanye biashara mkuu.

Lamba mkuu naomba kupata ya kuchana mbao shambani kwa saizi mbalimmbali kama 2x3,2x4,1x8, 2x6 .naweza kupata mashine hizo kutoka Europe new au used.natanguliza shukrani