Mkuu, kicheche for life ndo nini tena??? Maana sasa ili niwe na girlfriend inabidi nitafute dictionary ya hiyo lugha yao! Vinginevyo itakuwa lugha gongana tuu! Na huo unafiki sitauweza kabisa.