Woman=problems

Wengi walifeli hesabu kwaio hizo equation zitawatisha
 
huwa tunaambiwa ukitaka kumsahau mtu kwa haraka basi uwe unajikumbusha kero zake. Naona umeamua ku- apply hiyo theory tena kwa msisitizo umeamua kuitengenezea equation. Hakuna kitu, 'sizitaki mbichi hizi'

Ha ha ha hamna MademeA, mie niko shwari tu ila ka-ushauri kwako.
 
Snop doggy doggy aliimba kuoa ni kujiongezea matatizo. Mia
 
Nimeipenda hiyo calculation imenikumbusha mbali....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…