Mwanamke Wa ukweli huwa apatikani kwenye mitandao, by the way, Una kasoro gani Hadi ukashindwa kupata mwanamke kijijini kwenu, kijiji cha jirani, shuleni, ofisini, nyumba za ibada Hadi uje huku? [emoji15] [emoji15] Haya basi tuseme huko kotee umekosa, Haya kwenye daladala umeshindwa?[emoji54] Nadhani unatafuta gonjwa LA roho sasa ptuuu[emoji57] [emoji57]