kinjekitile70 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 1,071 Reaction score 1,428 Apr 24, 2018 #1 Wakuu kama kichwa kielezavyo, nipende kujikita hasa kwenye mada husika Mara mbili mfululizo nimepokea sms kutoka kwa watu wawili tofauti ambayo siko na namba zao na sijawahi kuweka nao ahadi zozote za mihamala Kitu cha ajabu ni kwamba namba zao hazipatikani na sms hawajibu Rai Kwani wahusika wa kawaadabisha hawa wezi nani anapaswa kuwashughulikiaaa????
Wakuu kama kichwa kielezavyo, nipende kujikita hasa kwenye mada husika Mara mbili mfululizo nimepokea sms kutoka kwa watu wawili tofauti ambayo siko na namba zao na sijawahi kuweka nao ahadi zozote za mihamala Kitu cha ajabu ni kwamba namba zao hazipatikani na sms hawajibu Rai Kwani wahusika wa kawaadabisha hawa wezi nani anapaswa kuwashughulikiaaa????
mudrah JF-Expert Member Joined Nov 17, 2017 Posts 734 Reaction score 1,989 Apr 24, 2018 #2 kinjikitile ngware yulee mchawi wa majimaji akachochea bifu kati ya mjaruman na mmatumbi teh teh teh
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,368 Apr 24, 2018 #3 Delete tu, una assume ni sms za Tigo, voda au za promotion.
glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,825 Reaction score 4,639 Apr 24, 2018 #4 Fanya halakaaa
Kiahjr Member Joined Jul 27, 2013 Posts 75 Reaction score 85 Apr 24, 2018 #5 Asee hii meseji niliipata, leo nikabaki naisoma kila mara nawaza nan nilomuahid pesa... Thank God niliipuuzia.
Asee hii meseji niliipata, leo nikabaki naisoma kila mara nawaza nan nilomuahid pesa... Thank God niliipuuzia.
Mbassa jr JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 1,234 Reaction score 3,235 Apr 24, 2018 #6 Duh hata mimi nimetumiwa jana asee
D Dundo_Boy JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 2,458 Reaction score 2,468 Apr 24, 2018 #7 hiyo sms hata mm nmetumiwa, hao ni wahuni
kinjekitile70 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 1,071 Reaction score 1,428 May 4, 2020 Thread starter #8 Hivi bado hawa jamaa wapo kweli Sent using Jamii Forums mobile app
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,391 Reaction score 10,466 May 4, 2020 #9 Kuna huyu kima mwengine 0782 131587, anapiga simu kisha anakwambia umetumiwa pesa kimakosa. Hivi TCRA Mko mmelala eh?
Kuna huyu kima mwengine 0782 131587, anapiga simu kisha anakwambia umetumiwa pesa kimakosa. Hivi TCRA Mko mmelala eh?
kinjekitile70 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 1,071 Reaction score 1,428 May 4, 2020 Thread starter #10 TCRA wako busy kukamata watu wanaopotosha covid19 Percy said: Kuna huyu kima mwengine 0782 131587, anapiga simu kisha anakwambia umetumiwa pesa kimakosa. Hivi TCRA Mko mmelala eh? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
TCRA wako busy kukamata watu wanaopotosha covid19 Percy said: Kuna huyu kima mwengine 0782 131587, anapiga simu kisha anakwambia umetumiwa pesa kimakosa. Hivi TCRA Mko mmelala eh? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
M2WAWA2 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 3,284 Reaction score 5,626 May 4, 2020 #11 Hawa watu wataendela kwa sbb soko la wenye hamu ya kutapeliwa ni Kubwa, na hata walio wahi kukamatwa kwa makosa haya.Hukumu zao hazijulikani mpaka leo.Hivyo watu wanaendeleza ubunifu wao
Hawa watu wataendela kwa sbb soko la wenye hamu ya kutapeliwa ni Kubwa, na hata walio wahi kukamatwa kwa makosa haya.Hukumu zao hazijulikani mpaka leo.Hivyo watu wanaendeleza ubunifu wao