Sasa si bora hata hao Tigo wazee, msije kujaribu kitu inaitwa Zantel! Ni Subsidiary ya hao vibaka ila wao wizi wameu advance wanaiba kwa staili ya kukuuzia huduma bila kupenda!
1.Unaweza ukawa umepitia offers flani kuangalia zinakuwa charged vipi ili ukiweka vocha ujiunge, the moment umeweka credit tu wanakuunga na vifurushi vyote ulivyovichungulia yani! Hawafai!!! Its like system inaweka QUERY zako katika qeue, ukiingiza vocha tu wafwa!
2.Ukijuinga na madakika ya mitandao yote kifurushi chao cha BAO ni kizuri buku unapewa 45 mins mitandao yote na 55 zantel kwenda zantel, kifurushi ni unlimited hivyo utatumia hadi ziishe hakuna expire date! Ushenzi uliopo in between hapa ni kwamba wanaanza kukata dakika za mitandao yote zile 45 hata kama umempigia mtu wa Zantel! Yani hawagusi kabisa za Zantel kwahio utajikuta dakika za Zantel zinajilimbikiza hadi za mitandao yote ziishe! This is not fair kabisa, ni ushenzi wa kiwango cha kimataifa ambao sijauona mahala popote zaidi ya kwao hawa mbwa!