Jamani... teh..!!
Waswahili husema, UKIMJUA MCHAWI, MPE MTOTO WAKO AKULEE, na mm nasema, sbb Mtemi ni mtaalam wa kuziona sana fedha kwa mbaliiiiiiiiiiiii... kwa jicho la joka la makengeza, TUMPE TU WIZARA YA FEDHA, atabuni njia nyingi za kuongeza mapato...!!! 😂😂
Wee, mkabidhi bucha fisi...!!! Mbuzi kafia kwa mpika supu...!! Uone..!!
👉 🚶🚶🚶🏃🏃
Apewe mkapa!!
Apewe Naziri Karamagi ama Msabaha. Sijui wako wapi hawa? Hawa andikwi hata na magazeti ya udaku!!!?
Ile wizara apewe Juma Mwapachu.