Wizara ya Afya Mkeka watatoa Lini?

Hawa nafasi zilikuwa chache halafu waliwahi kutangaza, sijui wanakwama wapi..
 
Tamisemi wamezingua, huku watoe pia ili tuendelee kuganga njaa mtaani
 
Mbona wameyashayatoa? Walitoa pamoja na ya walimu
 
Hawana haraka, mtu aleishaajiliwa kasharidhika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…