M musubati JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 217 Reaction score 60 Apr 5, 2014 #1 Waliomba wizara ya afya mwezi wa pili wamepanga vituo vya kazi tembelea web yao Ministry of Health and Social Welfare
Waliomba wizara ya afya mwezi wa pili wamepanga vituo vya kazi tembelea web yao Ministry of Health and Social Welfare
S Spellan JF-Expert Member Joined Jun 15, 2011 Posts 307 Reaction score 15 Apr 5, 2014 #2 musubati said: Waliomba wizara ya afya mwezi wa pili wamepanga vituo vya kazi tembelea web yao Ministry of Health and Social Welfare Click to expand... Tuwekee majina hapa kwa msaada zaidi.
musubati said: Waliomba wizara ya afya mwezi wa pili wamepanga vituo vya kazi tembelea web yao Ministry of Health and Social Welfare Click to expand... Tuwekee majina hapa kwa msaada zaidi.
alma gemela JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 842 Reaction score 280 Apr 5, 2014 #3 Spellan said: Tuwekee majina hapa kwa msaada zaidi. Click to expand... Mkuu umepewa taarifa still unataka uwekewe na majina kwa ambaye ameomba na hakika atakuwa ameingia kutafuta jina lake
Spellan said: Tuwekee majina hapa kwa msaada zaidi. Click to expand... Mkuu umepewa taarifa still unataka uwekewe na majina kwa ambaye ameomba na hakika atakuwa ameingia kutafuta jina lake
korino JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,013 Reaction score 686 Apr 6, 2014 #4 Mbona haifunguki web yao tena
alma gemela JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 842 Reaction score 280 Apr 6, 2014 #5 Simu inakataa tumia Pc
yutu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 1,779 Reaction score 1,227 Apr 6, 2014 #7 musubati said: Waliomba wizara ya afya mwezi wa pili wamepanga vituo vya kazi tembelea web yao Ministry of Health and Social Welfare Click to expand... mkuu musubati nimejaribu kuingia kwenye link yao hapo juu lakini sijayakuta hayo majina naomba msaada wako tafadhali Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
musubati said: Waliomba wizara ya afya mwezi wa pili wamepanga vituo vya kazi tembelea web yao Ministry of Health and Social Welfare Click to expand... mkuu musubati nimejaribu kuingia kwenye link yao hapo juu lakini sijayakuta hayo majina naomba msaada wako tafadhali
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,877 Apr 6, 2014 #8 me siusiki kumbe
yutu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 1,779 Reaction score 1,227 Apr 6, 2014 #9 google helper said: me siusiki kumbe Click to expand... unahusika ila msaada wako umekuwa mdogo
alma gemela JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 842 Reaction score 280 Apr 6, 2014 #10 Tumia pic ukiingia tu utaona majina ya wataalamu na vituo vyao vya kazi
korino JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,013 Reaction score 686 Apr 6, 2014 #11 Tuwekeeni bas hayo majina