Ochu Platinum Member Joined May 13, 2008 Posts 976 Reaction score 50 Apr 23, 2012 #1 katika kufuatilia hili bunge na habari zinazotoka ndani yake kwa maoni yako ni wizara ipi ina afadhali katika uwajibikaji kwa wananchi na ubadhirifu mdogo?
katika kufuatilia hili bunge na habari zinazotoka ndani yake kwa maoni yako ni wizara ipi ina afadhali katika uwajibikaji kwa wananchi na ubadhirifu mdogo?