Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 920
- 1,460
Tumeingiliwa ....Nitakuhonga figo nikupe na moyo,
Baby me na wivu we jifunze uchoyo,
Chuma nilipotoka nilikuwa loyal,
Yaliyonikuta mengi nimekoma,
Oya noma,
Mapenzi noma,
Oya noma,
Yalinipa kahoma.
Ni muda wa kuenjoy sasa,
huko nyuma yalininyanyasa,
Tumefungua mpya kurasa,
tuzae na watoto we sio tasa,
Oya!
WIVUUU!
View attachment 3344063
View attachment 3344065
View: https://youtu.be/0ZtH2wRhd90?si=PLUwBjIVWsAzfzt5
VIJANA WETU WAPEWE!....Airtime ya kutosha...
TAYARIIUzi tayari?
800 yake kwa siku na wala hawazi adha anayoleta kwa jamiiDah tuwashukuru waloleta simu za mkopo😅
+ na mbs za bure mungu ampe nini🤣800 yake kwa siku na wala hawazi adha anayoleta kwa jamii
Mkuu umeingiliwa ?Tumeingiliwa ....
Wanatuimbia matusi tuuu.....Kwahiyo pamoja na me kuwapa promo ya bure hawa vijana unaona sina mchango wowote kwenye maendeleo ya hii nchi?
WivuuuWanatuimbia matusi tuuu.....
sasa Michezo ya domo lisilo na meno ndo ipi?