Wivanja na nyumba nzuri zapatikana

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Kuna kiwanja kizuri chenye mvuto kipo Ukonga-Kipunguni kinagharimu milioni 15 unaweza kujenga nyumba yeyote na kubakia eneo la mabanda. Kwa mawasiliano piga namba 0788883962.
 
Mkuu kama una item moja basi ni vema ungebadilisha heading yako.
 
Mkuu nilisikia maeneo ya kipunguni hayaruhusiwi kujengwa kwani ni reserve ya uwanja wa ndege.Embu weka wazi mkuu maana nilisikia hadi fidia wa2 wameshapata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…