Wito wangu kwa wana CCM

wewe unaunga mkono Oman kusaidia ujenzi wa bandari ya Bagamoyo?
 
Tatizo sasa hakuna chama kingine chenye hadhi ya kukabidhiwa kuongoza nchi. Ni afadhali ccm waielewe hali halisi ilivyo huku mtaani, wamwambie mama apishe ili waweke mtu mwingine anayeweza kukubalika na kufanya yale wananchi wanataka.


Kwa viongozi waliokuwepo sasa hawaaminiki hawatatupatia mtu wa maana…basi ni bora lipewe jeshi lituongoze miaka 20…
 
Kwa viongozi waliokuwepo sasa hawaaminiki hawatatupatia mtu wa maana…basi ni bora lipewe jeshi lituongoze miaka 20…
Sikubaliani na wewe kuhusu kuliingiza jeshi kwenye masuala ya kisiasa. Matatizo yetu ya kisiasa tuyatafutie solutions kwenye uwanja wa siasa. Tujadiliane, tuhojiane, tukinzane, humu humu kwenye majukwaa ya kisiasa mpaka tupate ufumbuzi wa kisiasa bila kuliingiza jeshi. Hivyo ndivyo tutakavyoweza kuikuza demokrasia yetu. Jeshi liwepo kulinda nchi na kuhakikisha kuwa demokrasia yetu na usalama wetu haviingiliwi na watu wa nje.
 
Dhalimu atafhihakiwa tuu kulingana na matendo yake ya hovyo,hakuna excuses yeyote hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…