Wingu Zito leo tena

DOOKY

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
370
Reaction score
50
Wana JF leo hali ya hewa imekuwa kama jana kuna wingu zito sana. TMA wako wapi juu ya hili
 
Let it rains as much as it can,hali ni mbaya huku kitaa!
 
Wacha imwagike tu.
Kama jana nilikuwa maeneo ya magomen kota yalidondoka mpaka matone kwa mbali halafu ikawa kimya.
Na huku wingu la kutisha likiwa limetanda.
Bora inyeshe tu
 
Sasa unataka TMA wafanyeje? waliondoe hilo wingu au????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…