nataka nibadilishe hard drive inabidi ni-install windows xp lakini computer inagoma ku-boot from CD ROM na nilishabadilisha kwenye boot menu kutoka HDD ili i boot from CD ROM lakini bado inagoma na inaboot kawaida ie from HDD CD yenye OS ni bootable msaada please.