Windows 10 Technical Preview

misso

Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
46
Reaction score
6
wakubwa kwa yoyote aliye download hii windows mpya (technical preview) unaonaje walichokifanya?
kwa upande wangu wamepiga kazi nzuri sana
 
wakubwa kwa yoyote aliye download hii windows mpya (technical preview) unaonaje walichokifanya?
kwa upande wangu wamepiga kazi nzuri sana
umeona kipi kizuri? shea na sisi experience yako
 
Vizuri vingi..japo bado sijaitumia. They had to throw everything they had in..to keep up with the android na ios competition!! Maana windows 8 ilisemwa vibaya saaana!!
 
duh sio mac na linux imekua android na ios sasa?

Windows 10 ni kwa devices zote..kuanzia PCs to smartphones. Na competiton iko huko (tablets na smartphones) ambako iOS na android wamekaba vyema.

Kwenye PCs wote tunajua windows inakushikilia vizuri tu.
 
Windows 10 ni kwa devices zote..kuanzia PCs to smartphones. Na competiton iko huko (tablets na smartphones) ambako iOS na android wamekaba vyema.

Kwenye PCs wote tunajua windows inakushikilia vizuri tu.

yap ni kweli windows 10 ni kwa ajili ya vifaa vyote ila hii technical preview ya kwanza ni kwa ajili ya enterprise tu haina mahusiano yoyote na android na ios.

ilivyotoka tu nimeidownload hivyo nna experience ya siku 4-5 ya hii os na ninachoweza kukwambia hata user interface ya touch hamna.

mwanzoni mwa 2015 microsoft watatoa technical preview ya pili hiyo ndio itakuwa kwa ajili ya consumer wa kawaida na april 2015 ndio officially itatoka. na microsoft amesema hii ndio os ya mwisho hatoi tena os sasa hv ni updates tu.


hapo terry akielezea ninayosema na belfiore pia ameconfirm
 

Sawa hiyo ni preview , mi naongelea OS nzima kwa ujumla. Sasa whats the point ya kutengeneza OS kama hutegemei kusell it. Wana keep up na technology..so lazima wa-throw in kitu cha kumfanya mtumiaji na apps developers to opt for windows!! Angalia apps za kwenye store ya windows halafu ulinganishe na za android na ios, unafikiri wenyewe wanafurahia hilo?!

Na kuhusu kusema hii ni OS ya mwisho ndo kwanza nalisikia kwako. Unless hicho wameomgezea leo, hicho sicho nilichosoma mimi.
Unafikiri ni kwanini wameiruka windows 9 na kwenda 10...wamesema ni kwasababu hii windows ni a fresh start sio a follow-up ya hizo zilizopita. Meaning watatoa zitakazofata hii huko mbeleni.

Em nipe link ya uliposoma hiyo habari.
 

haijatangazwa rasmi ila soma hapa
Windows 10 to offer lock-down for businesses, feature updates for consumers - Neowin

kuhusu store sasa hivi inawekwa apps ambazo sio modern soon appstore na playstore zitapitwa
 
Ngoja tusubiri tuone. Ila mi Siitaki hiyo preview. Nakuwa mvumilivu mpaka hiyo the official release.

mi nimependa walivyofanywa wp8.1 os nzima ilijengwa kwa complain za wp8.

wamepromise kuwa w10 itajengwa na feedback tutakazotoa hivyo wacha niwe part ya watu watakaocontribute kwenye ujenz wa w10
 
mi nimependa walivyofanywa wp8.1 os nzima ilijengwa kwa complain za wp8.

wamepromise kuwa w10 itajengwa na feedback tutakazotoa hivyo wacha niwe part ya watu watakaocontribute kwenye ujenz wa w10

Yeah, ni vizuri. Maana start menu ilivyoliliwaga..dah!!
 
kuna tetesi kutoka kwa developer wa ndani ya microsoft kuwa inawezekana moja ya sababu ya kuruka windows 9 ni kuwa kuna uwezekano wa 3rd party applications zikawa zina assume windows 9 ni either windows 95 au 98
Code:
[COLOR=#333333][FONT=Helvetica]if(version.StartsWith("Windows 9"))[/FONT][/COLOR]
[COLOR=#333333][FONT=Helvetica]{ /* 95 and 98 */ } else {[/FONT][/COLOR]

japo kuna sababu zingine
 

Kwanin hatoi tena?? Huoni kama anawaachia competition wengine??
 
Kwanin hatoi tena?? Huoni kama anawaachia competition wengine??

inapata updates tu kaka. kukiwa na feature mpya utaipata kwa updates.

wewe unaona raha kila saa na cd la windows au usb unaeka windows ni tabu.

hebu angalia karibu asilimia 30 ya computer zilikua zinatumia xp, hizo ni ccomputer zaidi ya milion 300, support yake ilivyoisha zote ziliathirika hizi.

lakini sasa unakuwa na os moja tu yaani windows 10 haiishi support inakaa milele na milele we huoni kama ndio fresh?
 
Windows anakuja kwa kasi tena
 

Hahahah...seriously?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…