mkuu ungeanza na kuifanyia backup hio HDD pengine yenyewe ndio ina matatizo na inaanza kufa.
mimi hutumia mini tool partition wizard, wana version ambayo unaboot na flash,
ieke kwenye flash then boot then utaiona HDD yako na mafile yake kisha fanya mpango wa kuyahamisha. itabidi utafute HDD ya kuyahamishia
Bootable Partition Manager| MiniTool Partition Wizard Bootable Edition