Download tu mkuu siku hizi wataalam wengi hatutembei na ma cd. Mm nina external yangu 1tb bora uniibie million kuliko hiyo, nailinda next to my soul. Na flash 2 16 gb, na laptop yangu hp min co i5, ipo loaded na mazaga yote ya kunisaidia. Situmii kabisa cd