Upo too general kusema cha ukweli, but my gues ni kwamba unajaribu kuweka CD au DVD ambayo hauipo compatible na Operating System ambayo ipo installed kwenye hiyo computer. So angalia operating system kwanza ya hiyo computer then check na hiyo CD au DVD