Sina hakika kama inaweza kufutika yenyewe maana kwa kawaida haina option ya uninstall. Pengine unetuambia umeitafutia wapi, maana huwa inakuwa kwenye start menu. Kama unatumia OS wind 7 nenda kwenye start button, open all programs utaiona miongoni mwa progs za hapo juu juu.Altenative ya pili, tafuta wimbo wowote(not file), right click, select Open wih... itakupeleka kwnye list ya play media zote ulizonazo. Isipoonekana kwenye list, Bofya kwenye Browse itakupeleka kwenye list ya progs zote ulizonazo kwenye pc yako.Ikishibikana hapo ujue kweli haimo, so lastly utatakiwa kudownload nyingine hapa
Download Windows Media Player 11 - Windows Media Player - Play video and audio media - soft82.com Bofya kwenye Miror 1 utatakuwa umeishamaliza kazi. Good luck.