Wataalam wa window phone, nimeupdate sim yangu leokenda window 10 mobile.
Baada ya kuapdate sim haitaki chaja yoyote,kila chaja inasema slow charging. Inasema nitumie chaja yake yaani ya microsoft ambayo niipoteza nikanunua ya samsung kabla ya update ilikua iko poa.
Yaani haichaki kabisa. Shida ni nini wataalam.