Angalia tofauti ya jinsi maandishi ya lebo yanavyoishia kwenye chupa hizi mbili.
Chupa ya kwanza ni Windhoek feki mstari wa mwisho wa maandishi kwenye lebo (namba 18) yanakaribia kabisa “Please Recycle” kulia ya chupa.
Chupa ya pili ni Windhoek OG. Msatari wa mwisho wa maandishi (namba 18) kwenye lebo yanaishia nyuma ya “Please Recycle” kulia ya chupa.
View attachment 1886271
View attachment 1886278