Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,444
- 62,825
noma sana hapowanarusha rojo ya simenti inadondoka chini, wanarusha tena inadondoka
Hapo ni pagumu sana,muda mwingi wanapindisha shingonoma sana hapo
Nilipigwa?Chumba kimoja plasta laki TATU ni pesa ndogo.![emoji276]
Nilipigwa?
Nilipigwa?
Square meter moja ya plaster ni elfu 2000 minimum price kwa bei ya kampuni mtaani ni zaidi ya hapo ww hiyo bei ya 150 umeitoa wap?Chumba cha kawaida hua ni 60k.. kwakuanchako ni kikubwa na kuna dari, badi 150,000 ingetosha..
Hii formula nilikuwa siijui, kuna kitu nimejifunzaSquare meter moja ya plaster ni elfu 2000 minimum price kwa bei ya kampuni mtaani ni zaidi ya hapo ww hiyo bei ya 150 umeitoa wap?
Kongole kwa mtoa thread umelenga kwenye price maana ukipiga kwa chumba cha meter 6x10 na kuta zenye urefu wa meter 3 kwenda juu
Hesabu ya estimate inafanyika hivi
Ukuta mmoja wa 6 meter= 6*3= 18*2 = 36meter square
Ukuta wa 10 meter = 10*3=30*2 = 60 meter square
Dari = 6*10= 60 square meter
Total square meter 36+60+60= 186square meter
186* 2000= 372000
Ukitoa openings bei inaweza range below hapo kwahio 300k ni bei poa sanaa
Hivyo ndo namna estimate za kazi za ujenz zinavyofanywa ni mwendo wa kucheza na sqm za ujenz na market price ya sqm moja kwa kaz husika. Ukijua hii hata siku moja huwez laliwa kwny ujenz na mafundi wetu wa mtaani kwakua hawapend kujifunza yeye anajitajia bei tu akiwa hajui basics za hiyo bei imetokea wapHii formula nilikuwa siijui, kuna kitu nimejifunza
Hata Mimi mafundi wangu chumba wanapiga 70,000 tukwa fundi wangu wa mtaani...hicho chumba anapiga plasta kwa 80 elfu tu...hapo vibarua wake wawili na fundi msaidizi mmoja..kwisha kazi...akiifanya kwa siku mbili ndo walau atapata 160k
HabariHii formula nilikuwa siijui, kuna kitu nimejifunza
MkuuHata Mimi mafundi wangu chumba wanapiga 70,000 tu
Yes bossMkuu
Hao mafundi wenu mnawatoaga wapi?Square meter moja ya plaster ni elfu 2000 minimum price kwa bei ya kampuni mtaani ni zaidi ya hapo ww hiyo bei ya 150 umeitoa wap?
Kongole kwa mtoa thread umelenga kwenye price maana ukipiga kwa chumba cha meter 6x10 na kuta zenye urefu wa meter 3 kwenda juu
Hesabu ya estimate inafanyika hivi
Ukuta mmoja wa 6 meter= 6*3= 18*2 = 36meter square
Ukuta wa 10 meter = 10*3=30*2 = 60 meter square
Dari = 6*10= 60 square meter
Total square meter 36+60+60= 186square meter
186* 2000= 372000
Ukitoa openings bei inaweza range below hapo kwahio 300k ni bei poa sanaa
Hata Mimi huwa wanapiga ivyo,Hata Mimi mafundi wangu chumba wanapiga 70,000 tu
Hata Mimi huwa wanapiga ivyo,
Bei za chumba standard cha square meter 10 mpaka 12.
Bei ya ukutani Ni 50,000
Na floor Ni 20,000
JUMLA 70,000 na fundi anafanya KAZI kwa moyo wote.