Dude, what a pic!!!! full of "bunch of losers"
Japo simo kwenye list, ngoja tu niwataje wapinzani wangu hawa,
Kutoka kushoto kwenda kulia
Petr Check mzee wa bodaboda
Branislav Ivo
Ashley Cole
David Luiz mzee wa mpararuo
Oriel Romelu
Mvuta bangi wa Brazil (Mtaani huku wanamuita Mbrazil mwenye soka la Kiingereza) Ramires
Frank "Super" Lamp
50m Pound Man
Juan Mata (namkubali ni fundi)
Oscar
Mikel (thank God alikataa kuja Man U)
Victor Moses
Huyu jamaa nahisi atakuwa Malouda (mchanganiiii anacheza vifuuu na madogo, kashindwa kuwa mjanja kama Kalou)
Edina Hazard (sijakosea jina tafadhali)
Fereira
Marin
Turnbul
Cahill
Terry
Jina lake gumu kama nini, keyboard imekataa kutaipu, sijui zilipiketa sijui
Dem' mama
Kwisha kabisa soka, Benayoun
Betrand
Hilario
Wazeee wa daraja haoooo, nasikia siku hizi la vioo, peleka tu kichaa kama Benitez utapenda mwenyewe