Tumejaliwa haki sisi Tanzania
Ngao yetu umoja tunajivunia
Uhuru na umoja tunajivunia
Mawazo ya mwalimu yameshatimia
Kudumisha umoja ndio yetu nia
Ni wajibu kumshuru baba Nyerere
Kumsifu kwa furaha wingi wa hamu
Mwalimu baba yetu tunamfahamu,Nyerere baba yetu tunamshukuru
Mwalimu ndugu yetu tunamshukuru......................
Nikikumbuka verse nyingine nitarudi