Naona anahisia za Karibu sana huyu mtu, hahahKama wimbo huu umekuliza ni dalili za kichaaUtakuwa si mzima
Nyimbo nzuri lakini hakuna sehemu inayosababisha mtu kulia labda kama una husianisha maisha yako na nyimbo au una hisia binafsi.Daaah huyu jamaa niliwahi kusema akirudi kuimba Tena Dunia itasimama.
Yasome mashairi yake hapa.
Verse 1.
Dunia inazama, naangalia,
Sina cha kufanya,moyoni naumia.
Mawazo yangu oh, naangamia
Uko wapi Mungu wangu we,hunioni nalia
*Kumbe ulikua unanisikia , unaniangalia.....weweeee
Likapotea,tumaini langu ila imani ikaingiaa....×2
Chorus
Waambie, uliniona,nilipokuomba uliskia,na ukaitika.
Mungu wambie,uliposema uwaja, wala hukukosea njia, na ulifika.
Mungu wambieee, niwewew tuuu, niwewee tuuu, wuwuwu.
Mungu wambie eeh, niwewe tuu uliesababisha leo imefika.
Verse 2.
Wambie, kila siku ni zawadi, hakuna heshima inayozidi uhai.
Ni Nineema na Rehema, wawe ha hekima unazitimiza ahadi,
Ooh ooh wambie, hawapaswi kukata tamaa, sababu daima haupo mbali.
Ukipotea mwanga, gizani ndo nyota hunga'aa mwanga mkali.
Wambie,
Wasiache tumaini ndo imaniiii iii
Wasiache kukuamini ndo amanii ii iii
Chorus
Waambie, uliniona,nilipokuomba uliskia,na ukaitika.
Mungu wambie,uliposema uwaja, wala hukukosea njia, na ulifika.
Mungu wambieee, niwewew tuuu, niwewee tuuu, wuwuwu.
Mungu wambie eeh, niwewe tuu uliesababisha leo imefika. ×2
Link hii kuitazama video yake
Wewe umelia mkuu? Mi nimesiliza sijalia.NYIE MMESOMA MASHAIRI YEYE KASIKILIZA NA SAUTI NA HISIA ZA MWIMBAJI. LABDA NAWEWE UKIUSIKILIZA UNAWEZA KULIA!
NIMEUSIKILIZA HAUVUTII SANA SIONI KAMA UMAWEZA KUKULIZA KWELI!Wewe umelia mkuu? Mi nimesiliza sijalia.
Labda kilichopo hapo kina kugusa personal mkuu na hali ya vyuma ilivyo sasa.
Wabongo watakuambia kesi yao ilikua ni Kiki ya huo Wimbo. [emoji23] [emoji23]Daaah huyu jamaa niliwahi kusema akirudi kuimba Tena Dunia itasimama.
Yasome mashairi yake hapa.
Verse 1.
Dunia inazama, naangalia,
Sina cha kufanya,moyoni naumia.
Mawazo yangu oh, naangamia
Uko wapi Mungu wangu we,hunioni nalia
*Kumbe ulikua unanisikia , unaniangalia.....weweeee
Likapotea,tumaini langu ila imani ikaingiaa....×2
Chorus
Waambie, uliniona,nilipokuomba uliskia,na ukaitika.
Mungu wambie,uliposema uwaja, wala hukukosea njia, na ulifika.
Mungu wambieee, niwewew tuuu, niwewee tuuu, wuwuwu.
Mungu wambie eeh, niwewe tuu uliesababisha leo imefika.
Verse 2.
Wambie, kila siku ni zawadi, hakuna heshima inayozidi uhai.
Ni Nineema na Rehema, wawe ha hekima unazitimiza ahadi,
Ooh ooh wambie, hawapaswi kukata tamaa, sababu daima haupo mbali.
Ukipotea mwanga, gizani ndo nyota hunga'aa mwanga mkali.
Wambie,
Wasiache tumaini ndo imaniiii iii
Wasiache kukuamini ndo amanii ii iii
Chorus
Waambie, uliniona,nilipokuomba uliskia,na ukaitika.
Mungu wambie,uliposema uwaja, wala hukukosea njia, na ulifika.
Mungu wambieee, niwewew tuuu, niwewee tuuu, wuwuwu.
Mungu wambie eeh, niwewe tuu uliesababisha leo imefika. ×2
Link hii kuitazama video yake
Wabongo watakuambia kesi yao ilikua ni Kiki ya huo Wimbo. [emoji23] [emoji23]
Mleta mada inaonekana una hisia za karibu sana!.. Hebu tafuta na hii nyimbo Billie Holiday - Gloomy sunday nasikia wasikilizaji wengi wamejiua baada ya kuisikiliza!..[emoji6]