Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Duh, haya bana ...video yake nilicheka balaa
Duh, haya bana ...video yake nilicheka balaa
Ndani ya chumba cha mtihani,mikono inasweti
Akuna k2 kichwani yote nimeforget,ahed yamevaporate
Nahs kichwa kimekuwa kzto, kama nimevaa helement
.
Homa inapanda na kushuka
Nachokiona kimenuka
Maswali meng nimeruka