kwanini hujashtuka kwa belle9 mkuuBaadhi ya mifano yako imenifurahisha japo sina mpango na hayo mambo ya Team Kiba, Team Diamond ila siku Diamond akitoa wimbo unaitwa Chekecha Cheketua mimi nitashtuka sana au Kiba atoe wimbo unaitwa Eneka, itashtusha.