mwenye taarifa za lini wimbo huo utatoka au mike tee njoo utueleze huo wimbo utatoka lini? wadau tuna hamu ya kuwasikiliza wakongwe wetu walivyoutendea haki wimbo huo
walitoa kama kionjo cha verse moja ambayo jay mo ameimba verse ya kwanza nature ameimba kiitikio sasa tunasubiri fuull track ambayo humo profesa jay na Nature wamechana